Msaada na Support
Jibu maswali yako na pata msaada wa account.
Need help?
Wasiliana na CMM Support
Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara
CMM Shares ni nini?
Ni interface ya demo inayowakilisha shares, groups, positions na payout cycle.
Virtual Money ni nini?
Ni credits za simulation kwenye UI. Haziwakilishi fedha halisi na hazijaunganishwa na bank au mobile money.
Position transfer inafanyaje kazi?
Mtumiaji anaweza ku-list position yake na kuchagua premium ya mfano kama 3%, 7%, 12% au 15%.
Payout inahakikishwaje?
Dashboard inaonyesha estimate tu mpaka backend yenye accounting rules itoe status ya kweli.